Jengo la Umoja wa Mataifa New York lililopo kwenye makuano ya First Avenue na 42nd ST, New York, Nchini Marekani.
kutoka kushoto ni Justin Kisoka, Lilly Nyalusi na Emmanuel Swere wakipata picha ya pamoja Ubalozini hapo.
Mabango ya Utalii ya Nchi yetu yakiwa ndani ya Ubalozi wetu wa Umoja wa mataifa New York, Nchini Marekani.(picha kwa hisani ya Ebra NY)
No comments:
Post a Comment