Advertisements

Wednesday, February 1, 2012

FRANCIS CHEKA MADA MAUGO KUGOMBEA UBINGWA WA IBF RAUNDI 12 APRIL 28 PTA SABASABA


Makamu mwenyekiti wa Oganaizesheni ya ngumi za Kulipwa Nchini, Madaraka Nyerere (Kushoto) akiwaelekeza mabondia Francis Cheka kulia na Mada Maugo jinsi ya kusaini mkataba wa makubaliano wa kupigania ubingwa IBF raundi 12 litakalofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba April 28.
Bondia Fransic Cheka akizungumza na waandishi wa habari leo kupigania ubingwa IBF raundi 12 litakalofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba April 28.


Bondia Mada Maugo akiongea na waandishi wa habari wakati wa kusaini mkataba huo leo kupigania ubingwa IBF raundi 12 litakalofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba April 28.


Makamu mwenyekiti wa Oganaizesheni ya ngumi za Kulipwa Nchini, Madaraka Nyerere (Kushoto) akiwaelekeza mabondia Francis Cheka kulia na Mada Maugo jinsi ya kusaini mkataba wa makubaliano wa kupigania ubingwa IBF raundi 12 litakalofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba April 28.(picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com)

No comments: