VIJIMAMBO Loves you back
Leo ni Usiku wa Malavidazi Seska Lounge wapendanao wote mnakaribishwa VIJIMAMBO NA BLOG ZINGINE zitakuwepo kupiga picha za wapendanao na kama umpetandae atakua yupo mbali usijali utamtumia salaam kwenye kideo na yeye salaam zitamfikia karibuni wote.
USIKOSE USIKU HUU NI MAALUM KWA WAPENDANAO
No comments:
Post a Comment