ANGALIA LIVE NEWS

Friday, February 10, 2012

VIONGOZI WA WIZARA YA AFYA WALIOSIMAMISHWA KAZI NA WAZIRI MKUU JANA.

Mganga Mkuu wa Serikali Bw Deo Mtasiwa
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Bi Blandina Nyoni

2 comments:

Anonymous said...

huyo madame kusimamishwa kazi ni stahili yake kabisa lakini Dr kaingia tu kwenye kapu la wengi hana kokoro kaka wa watu.

Anonymous said...

Nadhani hakuna msafi kati yao. Wanacheza deal chafu wakati wenzao wanasota kusafisha vidonda.Mbaya zaidi na nitaendelea kushanzaa endapo Waziri Hadji Mponda hatajiuzulu kwanini aliteuliwa kimakosa. Watuwaliokuwa wanafanya nae kazi walishangazwa sana na uteuzi wa Kikwete kwa DR Mponda kwani walijua ni dhaifu kuliko hata RMO.