TANZANIA leo Tanzania inaadhimisha miaka 48 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar huku kati ya kero 13 za Muungano huo, kubwa inayoumiza vichwa vya viongozi na wananchi ya mafuta na gesi ikiachwa iamuliwe na wananchi kupitia mchakato wa Katiba mpya.
Aidha, kero tano zimeshamaliza kushughulikiwa, sita ziko kwenye mchakato na nyingine ya kuwa na akaunti ya pamoja imerudishwa kwa Kamati ya Pamoja ya Fedha.
Akizungumza na gazeti hili Dar es Salaam jana, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano), Samia Suluhu Hassan, alisema pamoja na kero hiyo pia suala la kufungua akaunti ya pamoja ya Muungano nayo kwa sasa haijafanyiwa kazi.

Mzozo bungeni waepukwa Waziri Samia alisema kero hiyo ya mafuta na gesi imekuwa ikipigiwa kelele sana na upande wa Zanzibar umesisitiza suala hilo liondolewe kwenye orodha ya masuala ya Muungano, jambo ambalo kwa utaratibu linapaswa kwanza liamuliwe na Bunge.
“Serikali kwa kuliona hilo, tumeona likiingizwa bungeni suala hili la mafuta na gesi linaweza kuzua malumbano makubwa, hivyo tumeona tuliache kwanza liingizwe kwenye mchakato
wa Katiba mpya, ili wananchi wenyewe waamue,” alisema Samia.
Akaunti ya pamoja Kuhusu suala la akaunti ya pamoja ambalo aliliingiza katika kero ya
mgawo wa wanahisa wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), alisema pia suala hilo

Habari Leo
No comments:
Post a Comment