Mwanamuziki wa kizazi kipya Linah akiwa kwenye jukwaa akiimba wimbo wa njiwa kwa show iliyofanyikia The Baseline Club, Mount Vernon, New York.
Linah akicheza na mashabiki wa New York waliokuja kwenye show yake.
Linah na Aj (kulia) wakimueka mtu kati NY Ebra kwenye show yao iliyofanyika The Baseleine Club, Mount Vernon, New York.
Linah mwanamuziki wa kizazi kipya toka Tanzania akiwa kwenye jukwaa akiimba kusaidiana na AJ (kulia) huku shabiki akiendelea kutuza kama anayoonekana katika show yao iliyofanyika The Baseline, Mount Vernon, New York.
Aj Ubao akifaya vitu vyake.
Mashabiki wa New York akiwemo Dean Nyalusi (kulia) wakipata picha ya pamoja.
Mashabiki wa DMV nao walikuwepo kwenye show ya Linah.
Mashabii wa New York City wakipata picha ya pamoja.
Mashabiki wa New York na DMV wakipata picha ya pamoja kwenye show ya Linah.
Mambo yamekua mambo ni ukodak moment kwa kwenda mbele.
Shabiki namba moja wa Bongo Flava wa New York akipata picha ya kumbukumbu na mwanamuziki wa kizazi kipya Linah.
Kwa picha zaidi Bofya Read More
Picha na NY Ebra.
3 comments:
Mijanaume mingine bwana kwa mikonoz!inapenda kupiga picha kuwashika viuno wanawake wa wenzio lakini wako hatumuoni na tukibahatika kuwaona hutaki hata hug unataka salamu ya kushake mkono.Acheni mambo hayo kama vyenu hamtaki na vya wenzenu acheni kujivinjari.Tabia mbaya.Hamuwezi kupiga picha hadi mchike kiuno?.
kama dem ni wako ulikua wapi wakati akishikwa kiuno au ulikosa kiingilio,kiuno kiwe hicho bwana? iiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.Dem awe huyo! kabebe boksi huko next time uwe na nauli na kiingilio ili ulinde iiiiiiiiiiii
Acha zarau na ulimbukeni,kama dem angekua sio huyo ungeshika kiuno?au unavyosema dem awe hyuyo?wewe unamuona man huyo???kwanza dem wangu hayupo hapo,nimesema hivi kwakua tabia imeshamiri sana,na usifikiri kila mtu anabeba mabox weweeeee!Ukweli ni kwamba acheni tabia hii,mnashika viuno kupiga picha kumbe mna yenu,mnajifanya mnaweka mkono vizuri kumbe mna yenu mnayotafuta,wengine mnapapasa kabisa,wazimu mtupu,hiyo ni kudhalilisha,na madada na nyinyi muache kuwachekeachekea hawa piga picha ya kiuno kwa heshima sio unamwachia mtu anachezea kabisa kiuno,anasikilizia,mzabue kibao msikubali hiyo.
Post a Comment