ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, April 7, 2012

MAREHEMU KANUMBA ALIPOTEMBELEA DMV JAN, 2011

Steven Kanumba (kulia) akipiga picha ya pamoja na Mhe. Balozi Mwanaidi Maajar Mr &Mrs Kalala siku ya mkutano wa Watanzania wa DMV na Mhe. Balozi January 29, 2012 kwenye ukumbi wa Hollywood Ballroom uliopo Indusrial Pkwy, Silver Spring, Maryland.

Kutoka kushoto ni Abuu Shatry, Aunty Sharifa, Mzee Kalala, Steven Kanumba, Mhe. Balozi na Afisa Ubalozi Suleiman Saleh
kutoka kushoto ni Mzee Kalala, Steven Kanumba, Mhe. Balozi, Afisa Ubalozi Asia Dachi na Afaisa Suleiman Saleh
Kutoka kushoto ni Joyce Kasemba, Aunty Rehema, Steven Kanumba na Aunty Zuhura
Kutoka kushoto ni Missy Temeke, Steven Kanumba na Salma Jay Jay
Steven Kanumba akipiga picha ya pamoja na MR TZ
Kutoka kushoto ni Missy Temeke, Steven Kanumba na Alawi Omar
Hapa ni Steven Kanumba akiwa na wadau wa DMV kwenye Club ya Millenium iliyopo Hyattsville, Maryland January 21, 2012
Mpya akiwa na wadau wa DMV kwenye picha ya pamoja na Steven Kanumba
Steven Kanumba akiwa na Didi Vava
Steven Kanumba akiwa na DMK
Steven Kanumba akiwa na Tom Kisura pamoja na Mashaka Bilal

4 comments:

Ebou's said...

Poleni sana wafiwa siku hii sitoisahau Mpwaa Mola ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi!!!

Missy-Temeke said...

BISMILAHI-RAHMAN RAHIM...HASBIYA LLAHU LAAILAHA ILLAH HUWA ALAIHII TAWAKKALTU WAHUWA RABBUL ARSHIL ADHWIIM x100.INNAMAA AMRUU IDHAA ARADA SHAY'A ANYAAKUULA LAHUKUN FAYAKUN x100......ALHAMDULILAHI RABILAALAMINA JAZAU KHERI ,YARABI MUWEKE MAREHEMU KAKA YETU KIPENZI CHETU STEVEN KANUMBA MAHALA PEME PEPONI NA UMUONDOSHEE AZABU ZA KABURI NA UMUWEKEE TAA YA MILLEE KWENYE NYUMBA YAKE YA MILELE NA UMPE KAULI SABIT MBELE YA HAKI,UMSAMEHE MAZAMBI YAKE YOTE YA DUNIANI NASI TUMEMSAMEHE KWA YOTE ALIYOTUKOSEA DUNIANI, NASISI ATUSAMEHE YOTE TULIYOMKOSEA DUNIANI ..........AMEEN

Anonymous said...

ni masikitiko makuuuuuuuuubwa saaaaaaaaanaaaaaaaa katika nchi yetuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu..hiyo ni murder huyo mwanamke afungweeeee,hakuna cha nn wala nn kamuua mwenziee afungweeee,mshenzi mkubwaaa lakini serekali yetu too local,sijui kama waweza mfunga wadau tusaidiane tupate haki ya kanumba..lol

Anonymous said...

Jamani! Kifo chake ni ajali kama ajali nyingine yoyote ndugu zangu. Hukumu tumuachie Mola maana ndiye ajuaye yote wapendwa. Tubalikiwe katika Bwana