ANGALIA LIVE NEWS

Friday, April 27, 2012

Mnakaribishwa Kikao cha Harusi

Stephano na Achotto kwa pamoja wanawakaribisha kwenye kikao cha Harusi yao kitakachofanyika nyumbani kwao siku ya Jumamosi April 28, 2012 kuanzia saa 12 jioni (6pm).


Address ni 
4513 Burkes Promise Dr.
  Bowie, MD 20720

Kufika kwako ndio mafanikio ya Harusi hii
Kwa taarifa zaidi na maelekezo wasiliana na Achotto 240 550 4962, Amani 240 462 3488, Amina 301 437 0965 na Mayor Mlima 301 806 8467

Wote Mnakaribishwa.

No comments: