ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, May 19, 2012

BONGO FLAVA NI HAKUNA TENA NI BALAA



Ni matumaini yangu umzima wa afya na unaendelea vizuri na majukumu....nia na madhumuni ya mail hii ni kukutamburisha 
Kazi mpya za Music Videos na Ujio Mpya wa Studios za EMPTYSOULZ PRODUCTION.

Emptysoulz Production kwa sasa imejipanga Upya na kujaribu kuleta Ujio Mpya kabisa hasa katika swala zima la
Video Production, Kwa sasa imeleta vifaa vipya na vya kisasa toka vifaa vyake vya Studio kuibiwa tarehe 27 / 12 / 2012 na majambazi
ktk studio zake mpya za Kunduchi Salasala.

Naamini tupo Pamoja kama Mdau na si vibaya kukutumia kazi mpya ambazo kwa sasa zipo mbioni kusambazwa
ktk vituo mbalimbali vya Tv.

                    Asanteni!

Solomon Lamba
Emptysoulz Production ( C.E.O )

1 comment:

Anonymous said...

imekuwa unaibia katika mwezi ambao hatuja fika, haijakaa sawa hapo