Mahojiano na Mhe. Zitto Kabwe. Tanzania kuelekea 2015
Hii ni moja ya mfululizo wa mahojiano na Mhe. Zitto Kabwe. Katika sehemu hii, anazungumzia kuhusu NIA YAKE YA KUWA RAIS, Msimamo wa Chama na wake kuhusu Muungano, suala la CHADEMA kuondoa kinga ya kikatiba kwa Rais, anaeleza kwanini anaamini ni vema uchaguzi wa Rais na Wabunge vitenganishwe, haki na wajibu wa raia katika katiba, kilichotokea Mwanza kwenye vurugu zilizosababisha wabunge kushambuliwa na kujeruhiwa na mengine mengi. Ungana nasi
kwa wadau wawili mliotangulia hapo juu,inasikitisha jinsi gani mlivyo out of touch na nchi yenu kani pamoja na machache mazuri ambayo kiongozi huyu wa uoinzani amyesema bado yaonekana hamjamuelewa
5 comments:
You don't make sanse labda kwa wabongo
This guy is baloney!
Kazi nzuri
Great interview, Great audio, good video but lighting could be improved.
kwa wadau wawili mliotangulia hapo juu,inasikitisha jinsi gani mlivyo out of touch na nchi yenu kani pamoja na machache mazuri ambayo kiongozi huyu wa uoinzani amyesema bado yaonekana hamjamuelewa
Post a Comment