Mgeni Mwalikwa katika Mkutano wa jumuiya ya Madola aliyekuwa Rais wa Nchi ya Ghana Bw. Jerry Rawlings (wapili toka kushoto) akipata picha ya pamoja na wenyeji wake.
Mbunge wa Ubungo Mh John Mnyika akizungumza na waandishi wa habari wakati wa mkutano wa jumuiya ya madola kujadili maswala ya Bunge, Serikali pamoja na vyama vya upinzani
Mgeni Mwalikwa katika Mkutano wa jumuiya ya Madola aliyekuwa Rais wa Nchi ya Ghana Bw. Jerry Rawlings kushoto akizungumza na waandishi wa habari Dar es salaam leo katika mkutano wa jumuiya ya madola kujadili Bunge Serikali pamoja na vyama vya upinzani katika jumuiya hiyo
No comments:
Post a Comment