ANGALIA LIVE NEWS

Monday, May 7, 2012

MTANZANIA WA KWANZA KUPANDA MLIMA EVAREST

Wilifred Moshi  ambaye ni Mtanzania wa Kwanza kupanda mlima mrefu kuliko
yote Dunian sasa yupo katikati na anaendelea kukata theluji.
Mtanzania huyo aliyewahi kupanda mlima Kilimanjaro zaidi ya Mara 90
ameamua kupanda mlima Evarest ili kutimiza ndoto yake. Amesema kwamba
anategemea kufika kileleni mwisho wa mwenzi huu na kuweka Bendera ya Tanzania.
Tumwombeeni mtanzania mwenzetu
Picha na mdau Rodrick MMari
 Moshi

No comments: