Familia ya Mather na Baraka Daudi inapenda kukualika ujumuike nao katika misa ya kumbukumbu(siku arobaini) ya mpendwa baba yao mzee George Masukuzi aliyefariki March 20th,2012. Misa itafanyika Jumamosi May 5th,2012 saa tano kamili asubuhi(11:00am)katika kanisa la St.Camillus lililopo:
1600 camillus drive
Silver Spring,md 20903.
Kwa taarifa na maelekezo wasiliana na baraka katika namba-301 792 8562.
Asanteni na karibuni sana.
Baraka
No comments:
Post a Comment