Nafasi ya Kutangaza Biashara au Huduma yako!!
Watu wote mnakaribishwa kutangaza biashara au huduma zenu katika
Semina ya Injili ya C. Mwakasege itakayofanyika siku ya
Alhamisi ya May 24, 2012 jioni @ 6:00pm
University of Maryland
3100 Adele H. Stamp Student Union,
College Park, MD 20742
Kwa njia hii utakuwa umefadhili mkutano kwa njia ya matangazo. Nafasi zilizopo na kama ifuatavyo:
Watu Binafsi - Utapata meza ya kutangaza biashara yako/huduma yako- Utapata fursa ya kuorodhoshwa kama mdhamini wakati wa kutoa shukrani
Makampuni - Utapata meza ya kutangaza biashara yako/huduma yako katika nafasi/eneo nzuri- Utapata fursa ya kuweka banner- Utapata fursa ya kuorodhoshwa kama mdhamini wakati wa kutoa shukrani
Kwa maelezo zaidi ya gharama ya kudhamini kwa kuweka nafasi za matangazo wasiliana na:
- Mch. F. Shideko (240)476-6718 -Mwenyekiti wa maandalizi
- Mch. J. Malekela (202) 520 3243 -katibu wa maandalizi mputimalekela@
yahoo.com - A. Mponi (240) 486-2170 - Msimamizi wa matangazo aamponi@gmail.com
Wahududumu wa Semina Wanahitajika
Wanaojisikia kuhudumia katika shughuli mbalimbali kwenye semina mnakaribishwa,
tafadhari wasiliana na:
---Watu wote Mnakaribishwa kwenye Semina---
No comments:
Post a Comment