Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Mkuu wa Utawala wa Ubalozi wa
Tanzania Marekani (HOC) Bibi. Lilly Munanka leo kabla ya kuondoka hotelini
kuelekea Uwanja wa Ndege kwa safari ya kurudi Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Afisa wa Ubalozi Tanzania
nchini Marekani Bw. Suitbert Mkama leo tarehe 20.05.2012 kabla ya kuondoka
hotelini kuelekea Uwanja wa Ndege kwa safari ya kurudi Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Afisa wa Ubalozi wa
Tanzania nchini Marekani Bibi. Katarina Kijuu leo tarehe 20.05.2012 kabla
ya kuondoka hotelini kuelekea Uwanja wa Ndege kwa safari ya kurudi Dar es
salaam.
Juu na chini ni Msafara wa magari ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete ukiondoka
hotelini kuelekea Uwanja wa ndege.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Afisa wa Ubalozi Tanzania
nchini Marekani Bi. Mindi Kasiga leo tarehe 20.05.2012 kabla ya kuondoka
hotelini kuelekea Uwanja wa Ndege kwa safari ya kurudi Dar es salaam.
Maafisa wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
wakipongezana baada ya msafara wa Rais Kikwete kuondoka Hotelini kuelekea
Uwanja wa Ndege baada ya kumalizika kwa ziara yake.
Picha na Ubalozi wa Tanzania, Washington, DC
1 comment:
Nasikia huyu Dada Mindi ni muandishi wa habari hapo Ubalozini
Post a Comment