Advertisements

Tuesday, May 22, 2012

TAARIFA ZA MTANZANIA ALIYE HOSPITAL


Viongozi/Wanajumuiya,
Leo Jumanne May 22 2012, nilipata nafasi wa kumjulia hali kijana wetu, Mtanzania mwenzetu na ndugu yetu, Bwana Domician Rutakyamirwa pale 5th Floor, Room 523 of GW University Hospital. 

Hali yake siyo nzuri na anahitaji maombi  pamoja na dua ili Mwenyezi Mungu aweze kumuangazia .
Kama ilivyo kawaida yetu, ukipata nafasi tafadhali pita pale ili nawe uweze kumjulia hali.
Amos Cherehani
KATIBU

No comments: