The Way of the Cross Gospel Ministries
inawakaribisha watu wote kwenye ibada maalum ya kuadhimisha
siku kuu ya akina mama - Mother's Day,siku ya Jumapili May 20, 2012
Mahali:
3621 Campus Dr.
College Park, MD. 20740
Saa:
kuanzia saa saba mpaka saa kumi na moja jioni
1:00pm - 5:00pm
Zawadi zitatolewa kwa akina mama wote,
na walio na watoto Kanisa linawaomba kuja nao
"Mara baada ya ibada tutakuwa na chakula cha pamoja"
!!!!!!W o t e m n a k a r i b i s h w a!!!!!
No comments:
Post a Comment