ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, June 17, 2012

DUNIANI KUNA MAMBO

Jana Jumamosi June 16, 2012 lilifunguliwa Duka la bidhaa mbalimbali lijulikanalo kwa jina la Frontier Palace Priss liko mji wa Süderlügum kusini ya Denmark kwenye mpaka wake na Ujerumani. Duka hilo lilitoa OFA ya mtu yeyote kuchukua bidhaa kadhaa zenye thamani ya Danish Kroner 2,000/= BUREE lakini sharti aje dukani kama ulivyozaliwa. Pichani wateja waliojitokeza kugombea ofa hiyo..

No comments: