Helewa akiwa na baba mwenye nyumba wake AJ Ubao kwenye Baby shower yake ilyofanykia Burtonsville, Maryland siku ya Jumamosi June 9, 2012
Sophia akiwa na kadogo wake kwenye Baby shower ya Helewa siku ya Jumamosi June 9, 2012
Karim mdau kutoka Bongo akiwa kwenye Baby shower ya Helewa iliyofanyikia Burtonsville, Maryland, June 9, 2012.
Kocha akisisitiza jambo.
Aunty Rehema akipata Ukodak moment
DMK akipata Ukodak moment na Teefah kutoka New York.
Aunty Zuhura akipata picha ya kumbukumbu.
Wageni waalikwa wakiwa wametulia kwenye viti vyao.
Wageni waalikwa wakiwa kwenye Baby shower ya Helewa iliyofanyika Burtonsville, Maryland Jumamosi June 9, 2012.
Watoto nao wakiwa na furaha walipokua wakipata picha ya pamoja.
Joyce Kasembe akipozi kwa picha.
Given akipata picha pamoja na kadogo wake.
Wageni waalikwa wakipozi kwa picha ya pamoja
Kwa picha zaidi Bofya Read More
No comments:
Post a Comment