Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Namtumbo Vita Kawawa (kushoto) na Mbunge wa Iramba Magharibi, Mwigulu Nchemba kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma leo Juni 12, 2012.
Spika wa Bunge Anne Makinda akimkabidhi kanuni za Bunge Mbunge wa Kuteluliwa James Mbatia baada ya kumwapisha, Bungeni Mjini Dodoma, leo Juni 12,2012.
Mbunge wa Kuteuliwa, Sospeter Mwijarubi Muhongo akiapa Bungeni Mjini Dodoma, leo Juni 12, 2012.
(Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment