Wachezaji wa timu ya Tanzania DMV mnatakiwa mazoezini Leo Jumamtano June 13, 2012 saa 1:30 jioni uwanja wa WALKER MILL RD kujiandaa na mechi ya Spain kwenye ligi ya DIASPORA 2012 WORLD CUP itakayochezwa Jumapili June 17, 2012.Tafadhali zingatia muda.
Na habari zilizopatikana hivi punde ile mechi iliyokua ichezwe Jumapili June 10, 2012 Germantown na Uingereza na kuahirishwa kwa sababu ya baadhi ya wachezaji kuchelewa kufika uwanjani sasa mechi hiyo itapangwa upya, siku na tarehe itatangazwa baadae.
1 comment:
Hawa wote wa Tz? mmmmhhh !! disgusting .....!!
Post a Comment