ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, June 19, 2012

RAIS KIKWETE AKUTANA NA MWANA WA MFALME WA SAUDIA, MWENYEKITI WA ARIGATOU INTERNATIONAL NA NAIBU WAZIRI MKUU WA KENYA IKULU


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na kumsindikiza Mwana wa Mfalme na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia, Mhe. Abdulaziz Bin Abullah Bin Abdul Aziz Al Saudi jana Juni 18, 2012 Ikulu jijini Dar es Salaam ambako walifanya mazungumzo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mchungaji Keishi Miyamoto, Rais wa Arigatou na Mwenyekiti wa Bodi ya Myochikai na Mlezi-Mwenza wa Kongamano la Mtandao wa Kimataifa wa Dini kwa Watoto (Global Network of Religions for Children) jana Juni 18, 2012 Ikulu jijini Dar es Salaam ambako walifanya mazungumzo.
Rais Jakaya Kikwete akimsindikiza Naibu Waziri Mkuu wa Kenya ambaye pia ni Waziri wa Serikali za Mitaa Mhe. Musalia Mudavadi baada ya mnaongezi yao Ikulu jijini Dar es Salaam jana.
(PICHA NA IKULU)

No comments: