ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, June 17, 2012

SAMEERA HUSSEIN & GLORIA KOMBE GRADUATION PARTY

Picha juu na chini ni Gloria Kombe (shoto) na Sameera Hussein wakipiga picha ya pamoja kwenye sherehe  ya kusherehekea kuhitimu kwao High School iliyofanyikia Bethesda, Maryland, Nchini Marekani Jumamosi June 16, 2012, Gloria amehitimisha masomo yake Clarksburg High School na atajiunga na Towson University, Sameera amehitimisha masomo yake Cesar Chavez PCS High School na atajiunga na Virginia State University.
Gloria na Sameera wakikata keki kwenye sherehe ya kusherehekea kuhitimu High School iliyofanyikia Bethesda, Maryland, Nchini Marekani.
Mama Sameera akimlisha keki Sameera
Mama Sameera akimlisha keki Gloria
Mama Gloria akimlisha keki Gloria
Mama Gloria akimlishe Keki Sameera.
Mariam Hussein (mama Sameera) akipata picha ya kumbukumbu
Kushoto ni George Kombe, Baba yake Gloria akipata picha ya pamoja na Kessy (kati) pamoja na Frank.
kushoto ni Grace Kombe (mama Gloria) akipata picha ya pamoja na mmoja ya Wageni waliokuja kujumuika pamoja na familia hizo mbili kusherehekea kuhitimu High School kwa watoto Gloria na Sameera
Aunty yake Gloria (kulia) akiwa pamoja na Aunty Wahida wakipata chakula cha jioni wakati walipojumuika pamoja kusherehekea kuhitimu High School kwa watoto Gloria na Sameera.
Maaunty wa Gloria wakiapata picha ya pamoja.
Frank akiwa na mama mwenye nyumba wake
Gloria akipata picha ya pamoja na kadogoo wake.
Kwa picha zaidi Bofya Read More

No comments: