Keki ya Graduation inayoonyesha picha ya Gloria na Sameera ikisubili kukatwa kwenye sherehe ya kusherehekea kuhitimu High School iliyofanyikia Bethesda, Maryland, Jumamosi June 16, 2012
Sameera akipata picha ya pamoja na mama yake
Gloria akipata picha ya pamoja na mama yake.
Grace Kombe (mama yake Gloria) akipata picha ya kumbukumbu na Mariam Hussein (mama yake Sameera)
Mama na wana katika picha ya pamoja.
Gloria akipiga picha na mmoja ya ndugu zake
Gloria (kulia) akipata picha ya pamoja na baba yake George Kombe (kati) na kushoto ni mmoja ya ndugu zake.
Gloria (kati) akipata picha ya pamoja na mama yake na mmoja ya ndugu zake
Gloria ( wapili toka kulia), Sameera ( watatu toka kulia) wakipata picha ya pamoja na familia zao
Gloria (shoto)akipata picha ya pamoja na mdogo wake (kulia) na Mmoja ya ndugu zake
Mariam Hussein (mama yake Sameera) akipata picha ya kumbukumbu
Familia ya Gloria na Sameera ikipata picha ya pamoja
Grace Kombe (kati) akipata picha ya pamoja na dada yake (kulia) akiwemo na Edima
Grace Kombe akipata picha ya pamoja na Dj Luke
4 comments:
Mikonozzzzz mzee DJ
Huyo binti ni mtoto wa Kombe wa kwanza, anaitwa Stella Kombe - Just FYI
You mean mtoto wa kambo?
Picture # 7 is a beautiful picture of both Geroge Kombe daughter's Stella Kombe and Gloria Kombe
Post a Comment