Advertisements

Friday, June 22, 2012

YONDAN AANZA MAZOEZI YANGA LEO ASUBUHI LEO

Juu na chini niKelvin Patrick Yondan, beki wa kimataifa wa Tanzania, ameanza mazoezi rasmi leo katika klabu yake mpya, Yanga SC. Yondan alitinga maeozini asubuhi na kushangiliwa ile mbaya na mashabiki wa klabu hiyo Uwanja wa Kaunda, Jangwani, Dar es Salaam. Picha tofauti zikimuonyesha Yondan mazoezini nYanga.

No comments: