ANGALIA LIVE NEWS

Friday, July 6, 2012

JUMATATU VIJIMAMBO ITALONGA NA MWANADIASPORA DR. CRISPIN SEMAKULA

Jumatatu July 9, 2012 VIJIMAMBO italonga na MwanaDiaspora Dr. Crispin Semakula wa Minnesota atatuelezea maisha yake na kitu gani kilichomvutia na kuamua kusomea udakitari na atatuelezea Ugonjwa wa kisukari unasababishwa na nini na nini dalili zake, USIKOSE

No comments: