Ny Ebra ndani ya Twin Cities Minneapolis Minnesota kuwaletea live sherehe za sabasaba kupitia vijimambo |
Hapa ni down town Minneapolis katika pita pita za hapa na pale vijimambo ikijipanga kabla ya kiza kuingia.
Mississippi River St paul Minnesota ni moja ya mito Elf kumi inayo pendezesha miji miwili hii maharufu kama Twin Cities. Leo usiku kutakuwa na Khanga party na pia kutakuwa na show ya mavazi itakayo ongozwa na Asya Khamsin Of Fabak Fashions, na pia for the first time hapa twin cities katika fashion show hiyo kutakuwa na mwana mitindo Hilda Michelle Mauya nae kuwaonesha kazi zake katika mitindo. Fashions show hiyo itaanza 10 P.m To 2 P.m.
Godfrey na Ghalib wakipa ukodak wa vijimambo.
Pita pita ya vijimambo kuwaletea manzari ya mji utakofanyika sherehe hizo za sabasaba hapa Minnesota.
No comments:
Post a Comment