 |
| Bendera za CCM zilizopambwa kwenye Uwanja wa Community Cetre, Mwanga,
mkoani Kigoma, zikiwa zimeunakishi uwanja huo, leo jioni ikiwa ni sehemu
ya maandalizi ya mkutano mkubwa wa CCM utakaofanyika kesho Jumapili. |
Juu na chini Mafundi wakiwa katika pilika pilika kuandaa jukwaa kwa ajili ya mkutano huo
No comments:
Post a Comment