ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, July 29, 2012

MKUTANO WA WAKRISTO WOTE DMV JUMAPILI JULAI 29, 2012 SAA 2:30PM

HUDUMA Y KUSIDIA MAKANISA YA KIAFRIKA NCHINI MAREKANI YA KANISA LA LUTHERAN  KWA USHIRIKIANO NA MAKANISA YA WAAFRIKA WASHINGTON DC INAPENDA KUWAKARIBISHA WAKRISTO WOTE WAISHIO  DMV KUJA KUMSIKILIZA MKURUGENZI WA HUDUMA HIYO  MCHUNGAJI DR JOSEPH BOCKO ( MTANZANIA) KUTOKA CHICAGO.

MAHALI
10110 GREENBELT RD
LANHAM, MD 20706

MUDA
2:30PM

WOTE MNAKARIBISHWA

KWA MAELEZO PIGA SIMU


No comments: