ROBO FAINALI, JUMAPILI,TANZANIA DMV KUCHEZA NA CAMEROON
Tanzania DMV
Cameroon DMV
Kesho Jumapili Timu ya Tanzania DMV watajitupa tena uwanjani hatua ya robo fainali watakapocheza na mshindi wa group A ambae ni Cameroon, mechi imepangwa kuchezewa katika viwanja vya Germantown saa 10:30 jioni.
No comments:
Post a Comment