ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, July 7, 2012

TANGAZO LA ADDRESS

Stephano na Achotto wanaomba kuwataarifu walioalikwa ambao kwa bahati mbaya kadi za mualiko hazikuafikia mnaombwa kufika bila kukosa majina yenu yatakuwepo mlangoni na Address ya Hall ni
8600 Glenarden Parkway,
Glenadern, MD 20706
Poleni kwa usumbufu wowote watakaokua wamewasababishia na cherekochereko zitaanza saa 1 kamili usiku (7pm) tafadhali zingatia muda. Asante.

No comments: