Thursday, August 30, 2012

MAZOEZI DMV YANAENDELEA TENA LEO ALHAMISI


Mazoezi ya mpira wa miguu kwa Watanzania wote yanaendelea kama kawaida leo kwenye uwanja mpya na wa kisasa wa uliopo 901 Cannon Rd, Slver Spring, MD 20904 mazoezi yataanza 5:30 pm Ukipata taarifa hii mtaarifu mwenzio.

No comments: