Thursday, August 30, 2012

Mdau Fredy Anthony Njeje wa Tone Media ame Publish Journal kwa wanafunzi wa Elimu ya Juu.

 Kwanza kabisa napenda kuwasalimu wadau wote mliopo popote Duniani, Kwa mara ya kwanza kabisa kwa Heshima na taadhima, napenda kuchukua nafasi hii ya pekee kabisa kuwatambulisha kwenu Publication yangu ya kwanza kabisa ya Journal kwa wanafunzi wa Elimu ya juu, ambapo nimeshirikiana na wadau wawili kutoka Iran majina yao mtayaona hapo chini. Hii ni moja ya hatua kwetu kupeana changamoto. asanteni sana. 

Kwa mawasiliano.
Fredy Anthony Njeje
Simu:  +255765056399

1 comment:

Anonymous said...

safi sana imepoa mambo yote siku hizi malaysia