ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, August 9, 2012

ONYESHO LA PICHA LAFANA

Mwanzo Milinga akiwa na mwanae George wakisimama mbele ya baadhi za kazi
nzuri alizofanya.(Photo Exhibition on Pastoralist Maasai)
Wadau wakiwa kwenye picha ya pamoja leo pale Alliance Francaise,wakati wa kutazama picha nzuri za Maasai kwenye onyesho la picha lililo dhaminiwa na ubalozi wa Uholanzi.
Watu kutoka kila kona ya dunia walikuwepo kushuhudia kazi bora za Mwanzo Milinga.
Mpiga picha bora wa harusi kwa sasa Tanzania,John akiangalia picha za Maasai katika onyesho la Picha za Mwanzo Milinga leo tarehe 9/8/2012 pale Alliance Francaise,Dar es Salaam.

No comments: