Advertisements

Friday, August 31, 2012

PETER MSECHU NDANI YA CHICAGO KUFANYA SHOW IJUMAA MKUTANO WA DICOTA

Peter Msechu (kulia) mwanamuziki wa kizazi kipya ambae alikua mshindi wa pili kwenye Tusker All Stars akiwa ndani ya Chicago katika picha ya pamoja na Dj Dennis Shengena wa Minnesota Ijumaa Aug 31, 2012 atapanda kwenye jukwaa akishirikiana na Dj Dennis na timu yake katika kutoa burudani kwenye Hotel ya Chicago Marriott O'hare, Msechu amekuja maalum kutoa burudani kwenye mkutano wa DICOTA. Chini ni Video ya Wimbo wa Relax alioimba akishirikiana na Kidum.

No comments: