Advertisements

Friday, August 31, 2012

WAJUMBE WAANZA KUWASILI KWENYE MKUTANO WA DICOTA CHICAGO

Matinyi na mama mwenye nyumba wake kutoka DC wakiwa nao ndani ya Marriott tayari kwenye mkutano wa DICOTA unaohudhuriwa na wageni mbalimbali kutoka ndani na nje ya Marekani akiwemo mgeni rasmi Mhe. Aman Karume, Rais mstaafu wa awamu iliyopita Zanzibar pia Balozi wa Tanzania Nchini Marekani Mhe. Mwanaidi Maajar yupo na tayari ameishafika Chicago akisindikizwa na mMaafisa Ubalozi Brigedia Jenerali Maganga na Dr. Mkama,
Baadhi ya wajumbe waliokwishafika kwenye mkutano huu wa DICOTA wakipata kanywaji kidogo na kupooza makoo
Wajumbe wengine kutoka sehemu mbalimbali akiwemo Erick Mshomi (kulia) toka Minnesota
Wajumbe toka New York wakipata picha ya pamoja
Wajumbe kutoka DC, Chicago na sehemu mbalimbali wakipata kanywaji na kupata picha za kumbukumbu.
Wajumbe toka DC katika picha ya pamoja.
Wajumbe toka North Carolina na Calofornia wakipata chakula.
Maafisa Ubalozi Brigedia Jenerali Maganga (kushoto) na Dr. Mkama
Majid mjumbe toka California
Nguli wa mitindo Asya Idarous Khamsin (shoto) akiwa na baba mwenye nyumba wake (wapili toka kushoto) akifuatiwa na Didi Vava toka DC na Joel Mburu kutoka Minnesota.
kwa picha zaidi bofya read more


No comments: