ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, August 25, 2012

Tamasha la Fiesta lazinduliwa kwa kishindo mjini Moshi


Mwamuziki wa kizazi kipya Linah akiwarusha mashabiki wake
Msanii mahiri wa bongofleva,Lina akiwa na densaz wake wakilishambulia jukwaa vilivyo.
Linah akiimba wimbo wake Yalaiti
Prezoo akiwarusha mashabiki kibao (hawapo pichani) waliojitokeza  kwenye uzinduzi wa tamasha la Serengeti Fiesta 2012 mjini Moshi
kwa picha zaidi bofya read more
Pichani juu na chini ni mwanamuziki kutoka nchini Kenya na mmoja wa shiriki wa shindano la Big Brother Stargame,CMB Prezoo akitumbuiza jukwaani .
Mmoja wa wasanii wa hip hop Joh Makini akikamua vilivyo .
Mkali mwingine wa hip hop Mwana FA akishusha mitindo huru. 
Pichani juu na chini Mwana FA akilishambulia jukwaa vilivyo kwa mitindo yake huru iliyokuna vilivyo mashabiki wake,waliofika kwa wingi kwenye tamasha la Serengeti Fiesta 2012.
Wasanii wa nyota wa Filamu hapa nchini nao walijumuika kwa pamoja kwenye uzinduzi wa tamasha la Serengeti Fiesta 2012,pichani jukwaani ni Wema Sepetu,Jacob Steven a.k.a JB,pamoja na Aunt Ezekiel wakilisakata sebene.
Ray nae akilisakata sebene vilivyo.

No comments: