Madereva wa maroli ya mizigo wamekuwa wakilalamikia uataratibu mbovu uliopo katika kituo cha mizani na ufinyu wa kituo hicho ambacho hakiendani na wingi wa magari yanayopita kupata hudua katika kituo hicho, ambapo hucheleweshwa na kukaa masaa mengi wakisubiri huduma na kusababisha foleni kubwa na usumbufu kwa magari mengine yanayopita eneo hili. Madereva hao wamesema kuwa kuna wakati foleni hiyo inakuwa ndefu zaidi na kujikuta wakiwa na foleni mbili jambo ambalo husababisha usumbufu kwa magari mengine yasiyohusika na huduma hiyo ambayo kulazimikaa kupita nje ya barabara yakipishana kwa taabu kwa yale yanayotoka Dar kwenda Moro na yale yanayoelekea Dar kutoka Moro.
Wataondoka leo kweli hawa?????
No comments:
Post a Comment