Diamond akiwa hospitalini hapo kuja kuakikisha mama yake anap[ata huduma inayoitajika
Diamond akiwa hana raha kabisa juu ya mama yake kuwa mgonjwa
Diamond akitokwa na machozi kwanoi alishindwa kabisa kujizuia kutoka kana na afya ya mama yake kuwa mbaya hadi kufikishwa hospitalini hapa.
Diamond akiwa hospitalini hapo akimsubiri mama yake akipewa huduma
1 comment:
pole sana dear mungu atamjalia mama atapona okay usijali okay kuumwa ndo tulioumbiwa dear okay
mdau Anayekupenda kupita kiasi
NY
Post a Comment