ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, September 4, 2012

MAMBO YA FORODHANI HAYO UNGUJA

Ukifika mjini Zanzibar bila kufika eneo hili la Forodhani kwa kweli utakuwa hujapata raha kamili ya vyakula vya asili na vya kila aina. Eneo hili utapata kitu kinaitwa Ulojo ambacho ndiyo hasa maalum kwa wenyeji wa mji huu na kivutio kwa wageni waliowengi ambao hupenda kujaribu kuonja ili kujua radha yake.

Hapa inaandaliwa pizza kwa ajili ya wateja hawa (kulia).
Hapa chagua mwenyewe utakacho, upendacho utaandaliwa.
Hapa wafanyabiashara wa vyakula hivi wakiwa bize kukaribisha wateja.
Msosi huu ni miongoni mwa misosi ya bei ghari eneo hili.

1 comment:

Anonymous said...

sound advice ukinda kula foro nenda usiku saa mbili au saa tatu ukienda saa kumi na mbili utakula viporo vya jana hata juzi na epuka kula see food kula chapati, mahindi nyama choma ya ngombe au buzi miskaki usinywe juice ya miwa maji si masafi ushauri wa bure na kama hamuamini basi kajifaraguani na mkihara ndo mtajua ushauri wa bure