Chadema, wananchi wengi tungependa kuhudhuria mkutano wenu wa September 8, lakini, ni kwanini hatujaarifiwa mapema ili tuweze kujipanga na kuufanya huu mkutano wa maendeleo sehemu ambayo wengi wetu tungekuwa na uhuru wa kufika? Kuna wengi wangependa kufika kwenye huu mkutano, lakini inaonekana unafanya kama "private", yaani sio tu nyumbani kwa mtu ambae, ana SIFA mbaya na na hana mahusiano mazuri na watu wengi, ila, amefanya kama ni private party””, yaani anaalika anaowataka yeye nyumbani kwake na wengine tunapigwa mkwala. Hivyo wengi wetu tunaisupport CHADEMA, lakini hatutafika kwasababu tu, huyu binti kwanza anaalika anaowataka yeye, na mbili wengi wetu wa huku BOSTON na NH, hatuna mahusiano mazuri nae kwasababu ya tabia na sifa yake mbaya. Tunaomba mfanye maamuzi ya haraka na ya busara ya kuweka mkutano sehemu ambayo wote tunaopenda maendeleo na mabadiliko nchini kwetu tuweze kufika. Nawakilisa wananchi wakereketwa wa Boston, Springfield na New Hampshire.

2 comments:
Chadema, wananchi wengi tungependa kuhudhuria mkutano wenu wa September 8, lakini, ni kwanini hatujaarifiwa mapema ili tuweze kujipanga na kuufanya huu mkutano wa maendeleo sehemu ambayo wengi wetu tungekuwa na uhuru wa kufika? Kuna wengi wangependa kufika kwenye huu mkutano, lakini inaonekana unafanya kama "private", yaani sio tu nyumbani kwa mtu ambae, ana SIFA mbaya na na hana mahusiano mazuri na watu wengi, ila, amefanya kama ni private party””, yaani anaalika anaowataka yeye nyumbani kwake na wengine tunapigwa mkwala. Hivyo wengi wetu tunaisupport CHADEMA, lakini hatutafika kwasababu tu, huyu binti kwanza anaalika anaowataka yeye, na mbili wengi wetu wa huku BOSTON na NH, hatuna mahusiano mazuri nae kwasababu ya tabia na sifa yake mbaya.
Tunaomba mfanye maamuzi ya haraka na ya busara ya kuweka mkutano sehemu ambayo wote tunaopenda maendeleo na mabadiliko nchini kwetu tuweze kufika.
Nawakilisa wananchi wakereketwa wa Boston, Springfield na New Hampshire.
DJ LUKA NAOMBA UWAKILISHE HILI SUALA... Asante

September 3, 2012 8:58 PM
Post a Comment