Mama wa kitanzania akiwa na watoto wake katika sherehe hizo
Aina ya vinywaji ambavyo unatengenezwa na viwanda vya Tanzania watu wajijipatia fursa ya kuonja kama unavyo hapa chini.
Meza hiliyo kua imeandaliwa kwa ajili ya kuonja vinywaji vya vinavyo patika ukiwa Tanzania |
Mama Asya Khamsin wa Fabak Fashions kama kawaida awezi kukosa kila patapo tokea events zinazo wausisha watanzania sehemu yeyote hile.
Hilikuwa raha na shamra shamra za aina yake hii siku waliokosa kutokea kwakweli walikosa mambo ya kinyumbani chakula na vinywaji vilikuwa vya kumwaga.
Bila kujari umri ngoma ilichezwa kwa kila aliye jisikia kuguswa na midundo ya ngoma hizi
Kikundi cha ngoma kutoka New York kinachoongonzwa na Mtanzania Eric kilikuwa sambamba kikitua burudani na wachezaji wake wakichina waliocheza kwa ustadi kabisa ngoma za asili ya kitanzania.
Watanzania waliokuja hapo wakifuatilia kwamakini na uku wakipata fursa ya kupata ukodak wa kumbukumbu.
Kama unavoona smile la kuonesha kuguswa na gomba hizo kutoka kwa dada yangu alie pozi na mama yangu pembeni
Kikundi cha ngoma za asili toka New York kilichoongozwa na Mtanzania Erick Fungo kikitoa burudani kwa Watanzania na marafiki zao waliofika Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani kusherehekea siku ya Mtanzania iliyotiafora kwa kila kitu.
Mpaka chini ilikuwa mdundiko huo ......dada yangu alikumbushia mambo ya mwananyamala hadi manseze kwa tumbo kitu mdundiko nomaaaaa, kwa picha zaidi ya matukio yote Bofya read more
7 comments:
Hongera kwa picha nzuri sana za shughuli nzima ya "Siku ya Mtanzania Washington DC". Tukio hili ni kubwa na la mara ya kwanza kufanywa hivyo lilikuwa linastahili kupewa uzito wa upendeleo wa nguvu kwa kuanza na kuelezea hasa chimbuko la tukio hilo, na pia kuelezea yote yaliyofanyika siku hiyo ya Mtanzania Washington, halafu kuweka picha husika katika mtiririko ambao unaenda na muhtasari ambao ungekuwa umeuandika kabla ya hizo picha. Kazi kiujumla nzuri lakini imepwaya kwa sababu haikuwa na mhimili wa maelezo. Asante sana. Volunteer
Hongera mama balozi,zidi kuonyesha akili za kichagga zilivyo sharp. Wewe ni mfano wa kuigwa na mabalozi wengine. Kilimanjaro tuko juu!
NO COMMENT, VIJIMAMBO MMEFANYA KAZI NZURI KUTUPA HABARI, HONGERENI SANA
Mie napenda tu kuupongenza uongozi mzima wa DMV kwa kazi nzuri wanayo ifanya, wame tuonyesha kwamba wako tayari kutuongoza wana DMV. Na natoa pongezi kwa balozi kwa kushirikiana na walioanda maonyesho hayo.
Nimefurahia kuona Watanzania wenzangu wakifurahi pamoja wakiwa nje ya nchi yetu.. onesheni ushirikiano wa juu na wale wasio na uwezo wapeni support, nimefurahi pia kumwona dada yangu miss Temeke na familia yake
Ni Kweli kabisa hii shughuli ili involve Ubalozi na Uongozi wa jumuiya, mikutano na mipango ilikuwa inaendelea kwa muda mrefu kuhakikisha kuwa siku hii inafana. Kusema kweli tunamshukuru balozi kwa kuwa a good patron na kutoa miongozo ili kila mtu afurahi na siku hii kufanikiwa, it was not an easy task kufanya kitu kama hiki, but ni dissapointment kuwa vijana wengi wa hapa MD hawakuja. Watanzania tupo wengi sana hapa DMV na young generation haikuwa well presented, jamani tuwe wazalendo siyo mkisikia Diamond tuu ndiyo mnajitokeza kwa wingi inabidi tuwaonyeshe watoto wetu what we have, tuwafunze utamaduni wetu siyo kuwavalisha vimini na vitop. Watoto wa Kitanzania walipendeza sana kwani wengi walivaa mavazi ya kitanzania kulingana na umri wao and they look soooo beautiful! Hii ni mara ya kwanza i hope mwakani will be much better, na sisi ni Watanzania ukisikia ubalozi unafanya shughuli kwa ajili yetu basi kuwa mzalendo piga simu jitolee kufanya something hii ni nchi yetu na ni sisi tutawaambia watu wengine how beautiful it is na how rich it is in culture! "Naipenda TANZANIA, NCHI YANGU TANZANIA NA MIMI NI MTANZANIA"
Nakubaliana kabisa kuwa picha nzuri sana na tukio lilikuwa zuri na lilifana. Maoni yangu ni kwamba, Vijimambo wasipewe lawama ya namna ya mpangilio wa habari na muhutasari wa tukio zima kwa sababu, wao wanatoa tu picha za tukio. Hapa ilikuwa wajibu mwa Afisa wa Ubalozi anayeshughulikia maswala ya Utamaduni na Habari aweke mambo sawa kwa kuwatayarishia Vijimambo taaswira nzima ya shughuli ya Siku ya Mtanzania Washington Dc kwa kuiandikia inavyotakiwa kutolewa na kumpa Vijimambo mwelekezo namna ya mpangilio wa kutoa habari hiyo na picha zake kitu ambacho hakikufanyika!. Hili ni fundisho kwa afisa mstahiki wa kitengo cha Habari na Utamaduni kuwa makini na kazi yake. Tanzania oye!!
Post a Comment