Vyaumbea wameumbukaje kwa Diamond show maana wamezoea uchonganishi. Mwenyekiti wa CCM DMV Loveness na Mh. Mbowe wa Chadema kuwa pamoja na kupiga stori wameshangazwaje? hao ni ndugu hawajajuana ukubwani kama nyie mlivyowajua hebu nendeni kule Marangu Moshi mkaangalie family DNA zao ndio mtajua siasa na family affair haziingiliani. Mnachekwaje kuongea msiyoyajua kwakwakwakwakwa SIASA HAIVUNJI UNDUGU HATA SIKU MOJA. ROTFLMAO
mimi nilipenda sana kuona mr mbowe na loveness wamekaa vip nikasema ni vizuri sana kuonyesha uzalendo yaani kweli loveness ni kiongozi maana hamna kitu kizuri kama watu wanatukana wewe unafanya vitu vyako hongera dada usijali matusi tunamzarau sana ujumbe ni mzuri ni kwamba mr mbowe amesema chadema sio chama cha matusi sisi chadema ni watu wa amani kama chadema tunakupa heshima na umetuonyesha wewe ni kiongozi keep a good job !!
2 comments:

Post a Comment