
Mmoja wa wafuasi wa kikundi cha waislamu wenye imani kali akidhibitiwa na
polisi mara baada ya kukamatwa leo katika kituo kikuu cha polisi Kati wakijaribu kuandamana ili kushinikiza kiongozi wao Katibu wa Taasisi za Kiislamu Shekh Ponda Issa Ponda kuachiwa na jeshi la polisi mara baada ya kukamatwa jijini Dar es salaam kwa kudaiwa kusababisha vurugujijini
Dar es salaam.

Mwandamanajimwingine akipelekwa katika kituo kikuu cha polisi kati jijini Dar es
salaam leo mchana mara baada ya kukamatwa akiandamana

Mmoja wa wananchi akihojiwa na waandishi wa habari ili kutoa maoni yake mara baada ya
maandamano hayo kutawanywa na polisi na baadhi ya waandamanaji kukamatwa leo mchana

Polisi wakiwa tayari kwa kudhibiti maandamano hayo katika kituo kikuu cha Reli ya kati na karibu na kituo cha polisi kati jijini Dar es salaam leo mchana.
Picha Kwa Hisani ya Full Shangwe Blog
No comments:
Post a Comment