ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, October 18, 2012

HABARI NDO HIYO: AUNTY EZEKIEL AMEOLEWA


Mashallah bi Rahma kapendezajeee
Bi harusi ngari'ngari
Sheikh akimuyonyesha Aunty mahali pakuweka saini
Habari ndo hiyooooo
Haya habari ndo hiyo mliosema haolewi yako wapi? Bibie huyo mkwe wa Demonte.
Aunty na mashosti zake
Hongera zake sana.

1 comment:

Anonymous said...

bwana harusi yuko wapi mbona na yeye haonyeshwi aki sign aunty ezekiel hongera sana na karibu katika dini ya haki na ya ukweli mungu akajaliye furaha ya milele daima na kizazi chema je na hongera sana kwa kuslimu . uislamu daima wakitaka wasitake utakuwa tu uislamu kwenda mbele.