Picha Juu na chini Hali bado si tete zanzibar njia zimewekwa mawe, na magari mabomu yakiwa katika maeneo mbali mbali huku watoto wakizuwiwa kwenda shuleni kutokana na kutotengamaa kwa hali ya amani, baadhi ya wafanyabishara wamesema watajizuwia kwanza kufungua maduka yao
No comments:
Post a Comment