Familia ya MUSIKA wa DMV inawatangazia kwamba kutakuwa na Ibada ya shukurani itakayofanyika Jumapili katika kanisa la
The way of the Cross Gospel Ministries.
3621 Campus Dr,
College Park, MD 20740.
Ibada ya Shukurani itaanza saa saba mchana hadi saa tisa. Na baadaye kutakuwa na chakula cha pamoja.
Wote mnakaribishwa kushiriki katika ibada hii.
1Wathesalonike 5:18 "Shukuruni kwa kila jambo maana hayo ni mapenzi ya Mungu kwenu katika Yesu Kristo."
Kwa maelezo zaidi tafadhali wasiliana na:
Yvonne Matinyi -------------301-792-3482Ms. Tonga Mushi 5
No comments:
Post a Comment