ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, October 18, 2012

Polisi na Uamsho wafanya mazungumzo.


Mkurugenzi wa Upelelezi Zanzibar, Yussuf Ilembo na Amir wa Uamsho Sheikh Msellem Bin Ally wakiwa katika kikao cha pamoja wakitoa taarifa kwa vyombo vya habari kuzungumzia hali ya utata wa kupotea kwa Sheikh Farid Hadi Ahmed alivyotoweka na vurugu zilizochukua siku ya pili mfululizo na athari zake.




Na salma said, Zanzibar

1 comment:

Anonymous said...

luke muungwana wangu tupe basi data ya hii issue kwa kirefu ukizipata wangu please because hapa kuna picha tu. shukran kwa kazi yako njema ufanyavyo kwa umakini na ujasiri na uhodari wa hali ya juu. najua kutumikia jamii si mchezo so nakupa kumi mwanangu kwa kazi yako fresh.

mdau Ny