Advertisements

Saturday, October 20, 2012

UWT WACHAGUANA UKO CHAMWINO,


Mbunge wa Afrika mashariki Shayrose Banji akijaribu kutulizwa na Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa UWT CCM baada ya kutokea kutoelewana na Sofia simba ambaye alikuwa mwenyekiti wa awamu iliyopita wa umoja huo jana baada ya kumuuliza swali akiomba kura katika ukumbi wa mipango Dodoma leo 
wajumbe wa mkutano mkuu wa jumuia ya wanawake uwt wakiwa kwenye foleni ya kuingia kwenye mkutano tayari kupiga kura kumchagua kiongozi waounaofanyika mjini dodoma leo

No comments: