Advertisements

Saturday, October 20, 2012

YANGA WAKABIDHIWA JEZI ZA DOA JEUSI WALIZOTAKA, NA KUWA SHUSHIA KIPIGO RUVU SHOOTING 3 KWA 2


Meneja Mahusiano ya Nje wa kampuni ya Sima za mkononi VODACOM, Salum Mwalimu akionesha jezi walizokabidhi kwa klabu ya Yanga zikiwa na doa jeusi. (Picha na Habri Mseto Blog)

Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga, Laurence Mwalusako (kati) akipokea jezi walizokabidhiwa na Vodacom zikiwa na doa jeusi kutoka kwa Meneja Mahusiano ya Nje wa kampuni ya Sima za mkononi VODACOM, Salum Mwalimu (kushoto). Kulia ni Ofisa Udhamini wa kampuni hiyo, Ibrahim Kaude

No comments: